Mtunzi: Deogratius Matojo
> Mfahamu Zaidi Deogratius Matojo
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratius Matojo
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: Deogratius Didas
Umepakuliwa mara 36 | Umetazamwa mara 43
Download Nota Download MidiEnyi watu wa sayuni mtazameni Bwana, atakuna kuwaokoa mataifa, naye Bwana atawasikilizisha sauti yake ya utukufu, katika furaha mioyoni mwenu.
1. Enyi watu wa sayuni mtazameni Bwana, kwa maana atakuja kuwaokoa mataifa.
2. Naye Bwana atawasikilizisha sauti yake ya utukufu katika furaha mioyoni mwenu.