Mtunzi: Deogratius Matojo
> Mfahamu Zaidi Deogratius Matojo
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratius Matojo
Makundi Nyimbo: Mama Maria
Umepakiwa na: Deogratius Didas
Umepakuliwa mara 8 | Umetazamwa mara 17
Download NotaSalamu mama mwema, mama mtakatifu, uliyekingiwa dhambi, dhambi ya asili mama.
1. Umebarikiwa mama mwema na mwenye huruma, twakusifu mama maria, salamu mama maria.
2. Sisi wanao wakosefu, utuhurumie mama, ndiwe msaada wetu, salamu mama maria.
3. Hazina yetu ya mbinguni, tuandalie mama mwema, tuishi nawe na mwanao, salamu mama maria.