Ingia / Jisajili

Shamba La Mizabibu

Mtunzi: Deogratius Matojo
> Mfahamu Zaidi Deogratius Matojo
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratius Matojo

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Deogratius Didas

Umepakuliwa mara 15 | Umetazamwa mara 23

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Shamna la mizabibu shamba la Bwana ndilo nyumba ya israeli.

1. Uliuleta mzabibu kutoka misri ukawafukuza mataifa ukapanda mche wake.

2. Nao uliyaeneza matawi yake hata baharini na vichipukizi hata kunako mto.

3. Nguruwe wa msituni wanauharibu na hayawani wa kondeni wanautafuna.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa