Ingia / Jisajili

Utushibishe Kwa Fadhili Zako

Mtunzi: Deogratius Matojo
> Mfahamu Zaidi Deogratius Matojo
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratius Matojo

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Deogratius Didas

Umepakuliwa mara 14 | Umetazamwa mara 26

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Utushibishe kwa fadhili zako ili tufurahi.

1. Utujulishe kuhesabu siku zetu ili tupate moyo wa hekima, Ee Bwana wewe urudi hata lini uwahurumie watumishi wako.

2. Utushibishe kwa fadhili zako nasi tutashangilia kwa furaha siku zote utufurahishe kwa kadiri ya siku ulizotutesa kama miaka ile uliyoona mabaya.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa