Mtunzi: Wolford P. Pisa (WPP)
> Mfahamu Zaidi Wolford P. Pisa (WPP)
> Tazama Nyimbo nyingine za Wolford P. Pisa (WPP)
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Wolford Peter Pisa
Umepakuliwa mara 528 | Umetazamwa mara 2,726
Download Nota Download MidiKiitikio
Waliojiandaa sasa wakati umefika, tukale mwili wake na kunywa damu yake, karamu hiyo Bwana Yesu ameiandaa.* 2
mashairi
1. Karamu ya amani, karamu ya upendo karamu hiyo Bwana Yesu ameiandaa.
2. Mkate ni chakula, divai ni kinywaji karamu hiyo Bwana Yesu ameiandaa.
3.Chakula cha uzima, twendeni kwa pamoja, karamu hiyo Bwana Yesu ameiandaa.