Ingia / Jisajili

Fadhili Za Bwana Nitaziimba Milele

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 407 | Umetazamwa mara 961

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Fadhili za Bwana nitaziimba milele fadhili za Bwana nitaziimba milele X2

1. Nimemwona Daudi mtumishi wangu nimempaka mafuta yangu matakatifu ambaye mkono wangu utakuwa thabiti kwake na mkono wangu utamtia nguvu

2. Uaminifu wangu na fadhili zangu atakuwa nazo na kwa jina langu pembe yangu itatukuka yeye ataniita wewe Baba yangu Mungu wangu na mwamba wa wokovu wangu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa