Ingia / Jisajili

Nafsi Yangu Imejaa Na Furaha (Canon Wa Shukrani)

Mtunzi: Dr. Nicholas Azza
> Mfahamu Zaidi Dr. Nicholas Azza
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. Nicholas Azza

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: Nicholas Azza

Umepakuliwa mara 226 | Umetazamwa mara 667

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
NAFSI YANGU IMEJAA NA FURAHA (Canon Wa Shukrani) Nafsi yangu imejaa na furaha, kwa kuwa Bwana ametenda mambo makuu. (x5). Nitamsifu Bwana, nitalihimidi jina lake, milele na milele, Amina. (x4). Milele na milele, Amina.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa