Ingia / Jisajili

Nani Kama Mama Maria

Mtunzi: Abraham .o. Okiro
> Mfahamu Zaidi Abraham .o. Okiro
> Tazama Nyimbo nyingine za Abraham .o. Okiro

Makundi Nyimbo: Mama Maria

Umepakiwa na: Abraham Obwocha

Umepakuliwa mara 885 | Umetazamwa mara 2,956

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

NANI KAMA MAMA MARIA

(Nani kama mama yetu birira mwenma ewe maria, mama yetu)x2

(Tunakulilia ewe mama maria,tu wakosefu, mama wa mkombozi  wetu tuombee)x2

1.       Salamu ewe maria mama yetu, sisi wana wakosefu utuombee

2.       Wewe kimbilio letu we bikira wewe mama wa yatima utuombee

3.       Mama wa shauri njema Ee maria, wewe kilio cha wanyonge utuombee

4.       Wewe mama wa muumba hauna dhambi, Bikira wa mwenye huruma utuombee


Maoni - Toa Maoni

Deodatus Feb 07, 2022
Nyimbo zako ni nzuri sn lkn kuzipata no shda

Toa Maoni yako hapa