Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Valentine Ndege
Umepakuliwa mara 663 | Umetazamwa mara 1,989
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 4 Mwaka C
Heri walio maskini wa roho maana ufalme wa mbinguni ni wao X2
1. Huishika kweli milele, huwafanyia hukumu walioonewa, huwapa wenye njaa chakula, Bwana hufungua waliofungwa
2. Bwana huwafumbua macho waliopofuka, Bwana huwainua walio inama, Bwana huwahifadhi wageni, huwategemeza yatima na mjane.
3. Bwana huwapenda wenye haki, bali njia ya wasio haki huipotosha, Bwana atamiliki milele.