Ingia / Jisajili

Natamani kujongea

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 504 | Umetazamwa mara 1,767

Download Nota
Maneno ya wimbo

Natamani kujongea meza yako ee Mungu wangu, Natamani kuishiriki karamu ya Bwana Yesu. (Karamu ya upendo na uzima wa milele, chakula cha mbinguni mkate wa wasafiri jongeeni Yesu ana wagonja altareni. x2)

  • 1.Mkate wa Mungu kutoka mbinguni, yeye aulaye hataona njaa.
  • 2.Kinywaji azizi kutoka mbinguni, yeye akinywaye hataona kitu.
  • 3.Meza yako niyamapendo na amani ya mwili na roho ni ya mapatano.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa