Ingia / Jisajili

Heri Wapatanishi

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 219 | Umetazamwa mara 374

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 22 Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 22 Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 22 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Heri wapatanishi maana hao wataitwa wana wa Mungu heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki maana ufalme wa mbinguni ni wao X2

1. Heri walio maskini wa roho maana ufalme wa mbinguni ni wao

2. Heri wenye upole wenye upole maana hao watairithi nchi

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa