Mtunzi: Michael Mgalatia Jelas Nkana
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mgalatia Jelas Nkana
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Michael Nkana
Umepakuliwa mara 275 | Umetazamwa mara 1,363
Download Nota Download MidiKiitikio
//:Hii kweli ni karamu takatifu(twaamini)://
//:Tukiila twampokea Kristo twatangaza mateso yake twapata kujazwa neeme rohoni twapewa amana ya utukufu ujao.://
Mashairi
1.Tunaalikwa kuijongea karamu ya Yesu Kristo,wale wote wenye moyo safi karibuni mkale mkate na kikombe cha wokovu.
2.Yesu mwenyewe alisema aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu anao uzima uzima wa milele.