Mtunzi: Alcado Z . Mtanduzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Alcado Z . Mtanduzi
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mazishi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 728 | Umetazamwa mara 4,120
Download Nota Download MidiSiku yangu ya kuzaliwa ilikuwa ni sherehe kubwa na vigelegele leo hii nimekufa vilio simanzi na huzuni vimetawala x 2.
Mashairi:
1. Vilio na uchungu simanzi na huzuni vinatukumbusha tujiandae.
2. Msali na kuomba tubuni dhambi zenu naye Mungu atawasamehe.
3. Ninyi mlio baki msinililie jililieni kwa maovu yenu.
4. Tubuni kila mmoja mumrudie Mungu yeye ndiye mwingi wa rehema.