Ingia / Jisajili

Hiki Ndicho Chakula

Mtunzi: Erick Mwaniki
> Tazama Nyimbo nyingine za Erick Mwaniki

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Mafundisho / Tafakari | Shukrani

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 52 | Umetazamwa mara 323

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
HIKI NDICHO CHAKULA Hiki ndicho chakula kilichoshuka kilichoshuka kutoka mbinguni, asema Bwana Yesu Kristo Huu ni mwili wangu asema Bwana, hii ndiyo damu iliyomwagika kwa ajili yetu yetu sote Sote twaalikwa tujongee mbele tushiriki karamu aliyoandaa Tujinyenyekeze tujongee mbele tushiriki karamu aliyoandaa 1. Kinatukumbusha ufufuko wake, msingi Imara waukristo wetu 2. Kinatupa nguvu ya kutumaini mbingu mpya ile iliyoko juu 3. Kwa chakula hiki twapata neema ya kutuongoza kukaa ndani yake 4. Kwa chakula hiki twakiri Imani twajisalimisha mbele zake Mungu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa