Ingia / Jisajili

Nipeni Biblia

Mtunzi: Erick Mwaniki
> Tazama Nyimbo nyingine za Erick Mwaniki

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 37 | Umetazamwa mara 106

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
NIPENI BIBILIA NipeniBibilianeno lake Mungutenandichochakula cha rohoyangu*2 1. Hapondiponinapopatakitulizo cha rohoyanguambayoimegongwanamawenatenaimedungwanamiba 2. NihitajipofurahakuuidumuyomileleyoteninakimbiliaBibiliailiyoakibayafuraha 3. MapenziyaMunguni pale paleazungumzaponasinipeninimsikizeMunguniishi vile atakavyo 4. Imani yangubadochangayahitajikukuzwasananimjueMunguwangumnotenanifahamunjiazake 5. Kisha nihubiriukuu wake Mungukwamataifawamjueanayewalishawampendenawamwabudu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa