Mtunzi: Deo Kalolela
> Mfahamu Zaidi Deo Kalolela
> Tazama Nyimbo nyingine za Deo Kalolela
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Joseph Isaya Mwakapila
Umepakuliwa mara 5,971 | Umetazamwa mara 11,563
Download Nota Download MidiHiki ndicho chakula bora kwa wanyofu wa moyo
Wote wenye mioyo safi Bwana awaalika
(Haya njooni wote mezani kwa chakula bora … cha uzima
Haya njooni wote mezani kwa chakula bora
Haya njooni kwa chakula bora cha uzima (wetu)
Wana heri wale wote wanaokipokea) x2
1. Kwa upendo Bwana Yesu amejitoa kuwa chakula Bwana kajitoa apate kuzishibisha roho zetu
2. Njoni wote wenye kiu ya kupokea wokovu wake njoni masikini njoni viwete vipofu na wagonjwa
3. Tule tunywe siku zote kwa ukombozi wa roho zetu haya njoni wote mezani kwa Bwana kwa chakula bora