Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 711 | Umetazamwa mara 2,162
Download Nota Download Midi(Hodi, hodi hodi pangoni hodi, hodi hodi hodi pangoni tunakuja kumuona mtoto Yesu x2 {(furaha Yesu kazaliwa), ae tuimbe tucheze tufurahi nderemo shangwe na furaha zitawale x2}
1.Njoni tuimbe, njoni tucheze Mwokozi wetu kazaliwa Bethlehemu.
2.Naye ataitwa, jina lake Emmanueli, maana yake Mungu pamoja nasi.
3.Aiye, yelele, yehe, woho, furaha Yesu Mkombozi kazaliwa.