Ingia / Jisajili

Jongeeni Wakristo

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Valentine Ndege

Umepakuliwa mara 424 | Umetazamwa mara 1,762

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Jongeeni Wakristo kwenye meza ya Bwana Yesu, kula mwili na kuinywa damu yake x2 Meza ya Upendo meza ya mapatano Yesu yupo atushibisha, jongeeni wote wenye moyo safi x2 1. Twendeni twendeni twende kumpokea, tukale chakula cha u zima 2. Meza yako Yesu kipaji cha mbingu, meza yako ni njia ya mbingu 3. Meza yako Yesu mwaliko wa Mungu, meza yako yatuliza roho

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa