Ingia / Jisajili

Unitume mimi

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Miito

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 561 | Umetazamwa mara 2,251

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Wewe weweBwana nimegundua tena nimejua, wewe Bwana wewe una haja na mimi x2. Nitume mimi Bwana nitume ulimwenguni, nikaihubiri Injili kwa watu wote x2.

  • 1.Wewe umenijalia kipaji cha kuimba, nijalie nikitumie kikamilifu, siyo tu nisali mara mbili Mungu wangu, bali nitangaze neno lako kwa watu wote.
  • 2.Wewe umeniita niwe wako umenichagua, nimekuwa Askofu, Padre, Katekista na mtawa umenichagua niongoze vyema niwachunge hawa kondoo wako.
  • 3.Uwafanye mataifa waisikie waisikie sauti yangu, wakufuate wewe Mungu wao unitume mimi nitume Bwana.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa