Ingia / Jisajili

Ilimpasa Kristo Ateswe

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Pasaka

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 74 | Umetazamwa mara 93

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 3 ya Pasaka Mwaka B

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ilimpasa Kristo ateswe na kufufuka katika wafu siku ya tatu na kwamba mataifa yote watahubiriwa kwa jina lake habari ya toba na maondoleo ya dhambi aleluya aleluya aleluya X2

1. Ndivyo ilivyoandikwa nanyi ndinyi mashahidi wa mambo haya

2. Kristo mwenye haki ndiye kipatanisho kwa dhambi zetu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa