Ingia / Jisajili

Inueni Vichwa

Mtunzi: Wamalwa Wanyama
> Tazama Nyimbo nyingine za Wamalwa Wanyama

Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme | Matawi

Umepakiwa na: Silvanos Wamalwa

Umepakuliwa mara 8 | Umetazamwa mara 21

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya Matawi

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Inueni vichwa vyenu enyi malango, Inukeni enyi malango ya milele; (Ili Ufalme wa utukufu apate kuingia x2) 1. Ni nani Mfalme wa utukufu? Bwana mwenye nguvu, wa nguvu, Bwana hodari wa vita. 2. Inueni vichwa vyenu enyi malango. Naam! Viinueni, enyi malango ya milele. Ili Mfalme wa utukufu apate kuingia.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa