Mtunzi: Wamalwa Wanyama
> Tazama Nyimbo nyingine za Wamalwa Wanyama
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Silvanos Wamalwa
Umepakuliwa mara 632 | Umetazamwa mara 2,575
Download Nota Download Midi1. Ee Bwana sistahili mimi uje kwangu Bwana
Sistahili (Bwana) {Lakini sema neno tu (sema neno tu) nami nitapona*2}
2. Mawazo yangu ni machafu sana nisafishe
3. Maneno ya kinywa changu ni machafu sana
4. Ee Bwana kwa maovu yangu mengi sana mimi
5. Niponye na magonjwa ya rohoni mwangu Bwana
6. Kwa neno lako Bwana uniponye mimi leo
7. Ee Bwana unihurumie sana mimi maana