Ingia / Jisajili

Tayarisheni Mapito

Mtunzi: Wamalwa Wanyama
> Tazama Nyimbo nyingine za Wamalwa Wanyama

Makundi Nyimbo: Majilio

Umepakiwa na: Silvanos Wamalwa

Umepakuliwa mara 1,214 | Umetazamwa mara 2,728

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Tayarisheni mapito ya Bwana, apate kuingia x2 Yanyosheni mapito ya Bwana, Yanyosheni mapito ya Bwana tengenezeni njia ya Bwana apate kuingia x2 1.Kila bonde litainuliwa, kila mlima na kilima kitashushwa; penye mabonde patanyoshwa, palipoparuza patasawazishwa. 2.Utukufu wa Bwana wetu, nao utafunuliwa, nao wote wenye mwili watauona kwa pamoja. 3.Anakuja Bwana Mwenye enzi anakuja na nguvu zake, atawatawala watu, atawatawala watu kwa amani.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa