Mtunzi: Wamalwa Wanyama
> Tazama Nyimbo nyingine za Wamalwa Wanyama
Makundi Nyimbo: Misa
Umepakiwa na: Silvanos Wamalwa
Umepakuliwa mara 2,643 | Umetazamwa mara 7,249
Download Nota Download MidiUTUKUFU – Wamalwa Wanyama
{Na Amani kote (kweli) kwa watu wote wenye mapenzi mema x2}
(Tunakusifu, tunakuheshimu Baba
Twakuabudu (Baba) tunakutukuza Bwana x2)
{Mwana wa pekee (kweli) mwana wa pekee wake Mungu Baba yetu x2}
Utuhurumie (kweli) dua zetu Baba twaomba zisikilize
U Mtakatifu (wewe) kuume kwa Baba ulipo tuhurumie
{Unatukuzwa (kweli) Mungu mmoja mtawala wa siku zote X2}