Ingia / Jisajili

Kama Vile Maji Yazimavyo Moto

Mtunzi: Joseph Rimisho
> Mfahamu Zaidi Joseph Rimisho
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Rimisho

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: JOSEPH RIMISHO

Umepakuliwa mara 2,085 | Umetazamwa mara 5,630

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Shairi

(Kama vile maji yazimavyo moto mkali, ndivyo na sadaka kwa masikini iletavyo msamaha wa dhambi.)x2

(Toa ndugu, toa ndugu, toa-sadaka (ewe ndugu) unajiwekea hazina mbinguni.)x2

Mashairi

1.Uzeni mali zenu, muwape masikini, mnajiwekea hazina mbinguni.

2.Na wewe muumini, toa kwa ukarimu, umepewa bure nawe toa bure.

3.Fungua moyo wako, thamini utoacho, Mungu atakubariki kwa yote.

4.Kumbuka jambo moja, ahadi yake Mungu, mjaribu kwa kutoa sadaka.

5.Rejea Biblia, Sira sura ya tatu, soma aya ile ya thelathini.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa