Mtunzi: Joseph Rimisho
> Mfahamu Zaidi Joseph Rimisho
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Rimisho
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: JOSEPH RIMISHO
Umepakuliwa mara 3,483 | Umetazamwa mara 9,391
Download Nota Download MidiKiitikio:
Uwe kwangu mwamba wa nguvu, nyumba yenye maboma mengi ya kuniokoa, ndiwe genge langu na ngome yangu, (kwa ajili ya jina lako uniongoze na unichunge. x2)
Mashairi:
1(a).Nimekukimbila wewe Bwana, nisiaibike milele.
(b).Kwa haki yako Bwana uniponye, na unitegee sikio lako.
2(a).Umuangaze mtumishi wako kwa nuru ya uso wako.
(b).Uniongoze kwa fadhili zako, uniongoze na unichunge.
3(a).Iweni hodari watu wa Mungu, na mpige mioyo konde.
(b).Mtapata thawabu yenu juu, ninyi mnao mngoja Bwana.