Mtunzi: Madam Edwiga Upendo
> Mfahamu Zaidi Madam Edwiga Upendo
> Tazama Nyimbo nyingine za Madam Edwiga Upendo
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Madam Edwiga Upendo
Umepakuliwa mara 1,469 | Umetazamwa mara 3,181
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 30 Mwaka C
Ufurahi moyo wao wamtafutao Bwana X2
Mtakeni Bwana, mtakeni na nguvu zake utafuteni uso wake uso wake siku zote X2
1. Zikumbukeni ajabu zake alizozifanya, miujiza yake na hukumu za kinywa chake
2. Yeye Bwana ndiye Mungu wetu duniani, duniani mwote ndimo zimo hukumu zake