Ingia / Jisajili

Karamu Ya Bwana

Mtunzi: F. K. Wambua
> Tazama Nyimbo nyingine za F. K. Wambua

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: francis wambua

Umepakuliwa mara 1,007 | Umetazamwa mara 2,462

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KARAMU YA BWANA (F.K.Wambua) All: Karamu ya Bwana sasa Itayari ndugu tuijongee. Meza ya upendo na upatanisho twende tukashiriki {( Bass- Ndugu twende) tu-pate uzima tu-pate, tu-pate uzima wa milele}x2 . 1.Mwili wake Bwana ni chakula bora, Damu yake kweli ni kinywaji safi. 2.Tusafishe roho na dhamira zetu, tunapojongea meza yake Bwana. 3.Meza ya upendo na upatanisho, Meza ya amani pia takatifu. 4.Heri yetu sisi tulioalikwa, kwa karamu bora mwili na damuye’.

Maoni - Toa Maoni

Catherine Jun 19, 2024
Good song

Toa Maoni yako hapa