Mtunzi: F. K. Wambua
> Tazama Nyimbo nyingine za F. K. Wambua
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme
Umepakiwa na: francis wambua
Umepakuliwa mara 345 | Umetazamwa mara 1,489
Download Nota Download MidiUNASTAHILI MUNGU
1.{Sop/Tenor: Unastahili kuabudiwa
ALL: Unastahili kuabudiwa Mungu mwenyezi}x2
{Chorus: Wewe unayeketi mahali pako pa juu, uketiye katika kiti cha enzi}x2
2. Unastahili kuheshimiwa............
3. Unastahili kupewa sifa.............
4. Unastahili kuinuliwa..................
5. Unastahili enzi tukuzo...............