Mtunzi: F. K. Wambua
> Tazama Nyimbo nyingine za F. K. Wambua
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: francis wambua
Umepakuliwa mara 3,070 | Umetazamwa mara 7,051
Download Nota Download MidiANAKUJA MASIHA(F.K.Wambua-©2013)
Tenor/Bass- Anakuja Masi-ha
All: Masiha (Alto/ Bass – Masiha) anakuja Masiha kutuokoa
Tenor/Bass- Anakuja kwe-tu
All: Masiha (Alto/ Bass – Masiha) anakuja Masiha kutuokoa)*2
1.Yatayarisheni, mapito yake anakuja, Masiha, (Jiwekeni tayari Kumpokea).
2. Itengenezeni, njia ya Bwana yanyosheni, mapitoye, (Anakuja Masiha Immanuel).
3. Wote wataona huruma yake na mapendo ya ajabu (Atakayoonyesha Mataifa yote).
4.Sifa kwake Mungu, Baba na Mwana naye Roho Mtakatifu (Milele na milele apewe sifa).