Ingia / Jisajili

Bwana Ametamalaki

Mtunzi: F. K. Wambua
> Tazama Nyimbo nyingine za F. K. Wambua

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: francis wambua

Umepakuliwa mara 194 | Umetazamwa mara 690

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
BWANA AMETAMALAKI (F.K. WAMBUA- © April 2019) Chorus: {Bwana ametamalaki x2, nchi naifanye shangwe}x2 {nchi naifanye shangwe x4}x2 1. Sop/Alto: Bwana ametamalaki, amejivika adhama, na kujikaza nguvu, ulimwengu umethibitika usitikisike. 2. Tenor: Kiti chako, kimekuwa thabiti tokea zamani, wewe ndiwe uliyekuwa tangu milele yote. 3. Sop/Alto: Ee Bwana mito imepaza imepaza, sauti zake, miti imepaza imepaza , uvumi wake. 4. Tenor: Kupita sauti ya maji mengi maji makuu, Bwana ndiye mwenye nguvu na uweza milele na milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa