Mtunzi: Apolinary A. Mwang'enda
> Mfahamu Zaidi Apolinary A. Mwang'enda
> Tazama Nyimbo nyingine za Apolinary A. Mwang'enda
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: APOLINARY MWANG'ENDA
Umepakuliwa mara 487 | Umetazamwa mara 1,589
Download Nota Download MidiKwa ajili yetu mtoto kazaliwa tumepewa mtoto mwanaume x2
1. Tumepewa mtoto mwanaume na uweza wa kifalme mabegani mwake
2. Naye ataitwa jina lake mshauri wa ajabu mungu mwenye nguvu baba wa milele mshauri wa amani
3. Tangu sasa na hata milele wivu wa bwana wa majeshi ndio utatenda hayo