Ingia / Jisajili

Sala yangu naipae

Mtunzi: Apolinary A. Mwang'enda
> Mfahamu Zaidi Apolinary A. Mwang'enda
> Tazama Nyimbo nyingine za Apolinary A. Mwang'enda

Makundi Nyimbo: Misa

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 1,229 | Umetazamwa mara 4,140

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio:

Sala yangu naipae mbele yako Bwana kama moshi wa ubani x2

Mashairi:

  • 1.Ee Bwana upokee sadaka yetu leo twakuomba upokee.
  • 2.Ee Bwana upokee Dhabihu zetu ni mazao ya mashambani
  • 3.Ee Bwana upokee pia nia zetu twakuomba zipokee

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa