Mtunzi: Apolinary A. Mwang'enda
> Mfahamu Zaidi Apolinary A. Mwang'enda
> Tazama Nyimbo nyingine za Apolinary A. Mwang'enda
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 440 | Umetazamwa mara 1,636
Download Nota Download Midi(Miisho yote ya) dunia imeuona wokovu x2. imeuona wokovu wa Mungu wetu, mwimbieni Bwana lisifuni jina lake (Bwana miisho yote ya) dunia imeuona wokovu.
1.Mwimbieni Bwana lisifuni jina lisifuni jina lake tangazeni wokovu wake siku kwa siku.
2.Tangazeni utukufu wa Bwana kati ya mataifa yote tangazeni matendo ya Bwana dunia yote.
3.Bwana ni mkuu mwenye kustahili kusifiwa sana sana na kuhofiwa kuliko miungu yote.
4.Mbingu zifurahi zifurahi nayo nchi ifanye shangwe, bahari ivume na vyote viijazavyo.