Mtunzi: Apolinary A. Mwang'enda
> Mfahamu Zaidi Apolinary A. Mwang'enda
> Tazama Nyimbo nyingine za Apolinary A. Mwang'enda
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Zaburi
Umepakiwa na: APOLINARY MWANG'ENDA
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 2 ya Kwaresma Mwaka B
KIITIKIO
Nitaenenda Mbele za Bwana katika nchi za walio hai x2
BETI
1. Naliamini kwa maana nitasema inathamani machoni pa bwana, mauti ya wacha mungu wake
2. Ebwana hakika mimi ni mtumishi wako, mwana na mjakazi wako umevifungua vifungo vyangu
3. nitakutolea dhabihu ya kukushukuru na kulitangaza jina la bwana