Mtunzi: Apolinary A. Mwang'enda
> Mfahamu Zaidi Apolinary A. Mwang'enda
> Tazama Nyimbo nyingine za Apolinary A. Mwang'enda
Makundi Nyimbo: Majilio | Zaburi
Umepakiwa na: APOLINARY MWANG'ENDA
Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 2
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 30 Mwaka B
- Katikati Dominika ya 2 ya Majilio Mwaka C
Bwana alitutendea mambo makuu x2, Tulikuwa tukifurahi, tulikuwa tukifurahi, tulikuwa tukifurahi x2
BETI
1. Bwana alipowarejeza mateka wa sayuni tulikuwa kama waotao ndoto waotao ndoto ndipo kinywa chetu kilipojaa kicheko (na ulimi wa kelele za furaha) x2
2. Ebwana uwarejeze watu wetu waliofungwa kama vijitoto vya kusini wapandao kwa machozi, (watavuna kwa kwelele za furaha)x2
3. Ingawa mtu anakwenda zake akiilia, hakika atarudi kwa kelele za furaha (aichuku apo miganda yake) x2