Ingia / Jisajili

Kelele Za Shangwe

Mtunzi: Erick Mwaniki
> Tazama Nyimbo nyingine za Erick Mwaniki

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 158 | Umetazamwa mara 492

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KELELE ZA SHANGWE Enyi nchi yote pigieni Mungu Kelele za shangwe, (Mungu mkuu, ameweza yote, mambo makuu, ametenda yote) *2 (Bwana ni huyu Mungu ni yule, Baba ni huyo yeye yuko kila mahali) *2 1. Mimi nayo nyumba yangu nitamtumikia, siku zangu zote za Maisha yangu 2. Sifa zangu zote mimi namtolea Bwana, huyu Mungu ndiye kanipa uhai 3. Furaha ya moyo wangu yatoka kwake Mungu ushuhuda to sha Mungu ni mkuu 4. Wakati wa shida mimi kamlilia Bwana akaniitika kama mwana wake 5. Yuko nami leo kesho n ahata milele, ye ana mipango mipango mizuri

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa