Ingia / Jisajili

Nimekuja Kutambua

Mtunzi: Erick Mwaniki
> Tazama Nyimbo nyingine za Erick Mwaniki

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Mafundisho / Tafakari | Miito | Shukrani

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 99 | Umetazamwa mara 280

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
NIMEKUJA KUTAMBUA 1. Nimekujakutambuayakwambatu' safarinitu' safariniyakuelekeajuumbinguni nduguyangunikuelezekuhusu pale twaelekeawachamiminisimulieyaleyatakayojiri Nitaimbaimbabilakusitanitachezachezanaomalaikanitakapofikahukombinguninitajawanarahayamilele *2 2. Maishaninayoishiyahapadunianiyapaswakunielekezahukojuumbinguni maskininitasaidiawagonjwanitatembeleanenolakonilienezeilinifikekwakeMungu 3. Amrizakokumimiminitazifuataamrizakanisasitavunjahatamoja eeMungunipenguvunivumiliehayanatamanikufikakwakonijiungenamwanao 4. Ewe Bwana YesuuliyenitangulianiwekekuumekwakeMungu Baba yetu sijui vile kukolakinirahaimohakunakuchokanikusifumilele 5. Hakunaubaguziufisadihakunahakunamatajirihakunamaskini hakuna vita humoamanikotekotenatamanikufikamileleniishinaMungu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa