Ingia / Jisajili

Kikombe Kile Cha Baraka No.2

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 133 | Umetazamwa mara 275

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 24 Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 24 Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 24 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kikombe kile cha baraka tukibarikicho je si ushirika wa damu damu ya Kristo mkate ule tuumegao si ushirika wa mwili wa Kristo X2

1. Kwa kuwa mkate ni mmoja sisi tulio wengi tu mwili mmoja

2. Kwa maana sisi sote twapokea sehemu ya ule mkate mmoja

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa