Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira
Makundi Nyimbo: Kwaresma
Umepakiwa na: Alex Rwelamira
Umepakuliwa mara 641 | Umetazamwa mara 2,586
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Shangilio Dominika ya 5 ya Kwaresma Mwaka A
Mimi ndimi huo ufufuo na uzima asema Bwana [(yeye aniaminiye mimi) yeye aniaminiye mimi hatakufa kabisa hata milele hata milele]X2