Ingia / Jisajili

Bwana Asema Kila Aishiye

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Kwaresma

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 109 | Umetazamwa mara 167

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 5 ya Kwaresma Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana asema kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele X2

1. Mimi ndimi ufufuo na uzima yeye aniaminiye mimi ajapokufa atakuwa anaishi

2. Martha akamwambia Bwana nimesadiki kwamba wewe ndiwe Kristo Mwana wa Mungu ajaye ulimwenguni

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa