Ingia / Jisajili

Yesu Kristu Mungu Wangu

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 2,252 | Umetazamwa mara 8,220

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Yesu Kristu Mungu wangu, Yesu Kristu Mungu wangu, njoo leo moyoni mwangu x 2

 1. Nakuita uje kwangu, uniponye roho yangu, ee Yesu Kristu Mungu wangu.
   
 2. Mwili wako Yesu wangu, ni chakula cha uzima, ee Yesu Kristu Mungu wangu.
   
 3. Damu yako Yesu wangu, ni kinywaji cha uzima, ee Yesu Kristu Mungu wangu.
   
 4. Huu ndio mkate kweli, ushukao toka mbinguni, ee Yesu Kristu Mungu wangu.
   
 5. Aulaye mwili wako, anao uzima tele, ee Yesu Kristu Mungu wangu.
   
 6. Sistahili uje kwangu, sema neno moja Bwana, na roho yangu itapona.
   
 7. Tunakuhitaji Bwana, utupatie uzima, uzima wa milele yote. 

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa