Mtunzi: Peter.g.lulenga
> Mfahamu Zaidi Peter.g.lulenga
> Tazama Nyimbo nyingine za Peter.g.lulenga
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Geophrey Lulenga
Umepakuliwa mara 942 | Umetazamwa mara 2,838
Download Nota Download MidiMOYO WANGU UMEKUAMBIA
KIITIKIO:Moyo wangu umekuambia Bwana uso wako nitautafuta X2
MASHAIRI:
1.Usinifiche uso wako usijiepushe na-- mtumishi mtumishi wako kwa hasira.
2.Umekuwa msaada wangu usini-tupe wala usiniache ee Mungu wa wokovu wangu.
3.Baba yangu - na mama yangu wameni-acha ba--li- Bwana Bwana atanikaribisha kwake.