Ingia / Jisajili

Kuimba ni raha No.2

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 103 | Umetazamwa mara 609

Download Nota
Maneno ya wimbo

Kuimba ni raha kucheza ni raha kuimba ni raha kumuimbia Mungu wangu x2

1.Bwana nitaimba, nitaimba kwa furaha, katika kusanyiko kubwa nitalisifu jina lako kwa kipaji ulichonijalia nitakuimbia Mungu wangu.

2.Paulo na Sira waliimba gerezani, milango milango ya gereza ikafunguka kuimba kunajibu maombi na tena kuimba ni raha tu.

3.Maana ni vema kumwimbia Mungu wako, kusifu ni kuzuri kumwimbia Mungu kunapendeza, ngoja nicheze muone jinsi kuimba kulivyo ni raha tupu.

4.Baba nawe mama , kaka pia nawe dada, njoni simameni kwa furaha na ngoma zikipigwa, tucheze tukiimba kwa furaha hakika kuimba ni raha tu.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa