Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege
Makundi Nyimbo: Mwaka Mpya
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 1,167 | Umetazamwa mara 2,227
Download NotaHongera hongera hongera hongera hongera kwa kuumaliza mwaka salama, Hongera hongera hongera hongera hongera kwa kuuona mwaka mpya. Sifa kwa Mungu aliyeruhusu yafanyike haya, anayetupa pumzi amani pia afya njema. (Pokea sifa wewe uliyejuu (uketiye) huko juu mbinguni unatamalaki x2)
1.Hebu tazama mahospitalini ndugu zetu wanayokufa tazama ajali wengi wanapata ulemavu, mimi na wewe tu wazima aeae sifa kwa Mungu.
2.Hebu tazama na vitanda ni ndugu ndugu zetu wamelala wagonjwa hawajiwezi wamepoteza matumaini, mimi na wewe tu wazima aeae sifa kwa Mungu.
3.Simama piga makofi imba kwa furaha cheza kwa furaha shangilia piga kelele kwa furaha, piga kelele kwa furaha yakuuona mwaka mpya.