Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 632 | Umetazamwa mara 1,790
Download Nota Download MidiBwana aliniambia wewe ndiwe mwanangu, mimi leo nimekuzaa nimekuzaa leo x2.
1.Wafalme wa dunia, wajipanga nao wanafanya, wanafanya shauri pamoja juu ya Masiha wao.
2.Yeye akatiye, aketi mbinguni anacheka, Bwana huwafanyia dhihaka dhihaka hao wafalme.
3.Nami nitamweka, mfalme wangu juu ya sayuni, juu ya Sayuni mlima wangu mtakatifu.