Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 430 | Umetazamwa mara 2,185
Download Nota Download MidiKwa Yesu kuna raha, kwa Yesu kuna raha kwa Yesu kuna raha raha ya ajabu x2
1.Umtumaini Bwana, mkabidhi njia zako hakika atayabadilisha, maisha yako.
2.Hakika kwa Yesu kuna afya, kwake kuna utajiri amani upendo tunapata, ni raha tupu.
3.Atukinga na adui, atukinga na ajali riziki yeye hutupatia, ni raha tupu.