Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Valentine Ndege
Umepakuliwa mara 712 | Umetazamwa mara 2,087
Download Nota Download MidiAleluya (Aleluya) Aleluya Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema x2 Kwa maana (kwa maana) fadhili zake ni za milele ni za milele, maana fadhili zake ni za milele x2
1. Israeli aseme aseme sasa ya kwamba fadhili zake ni za milele
2. Mkono wa kuume wa Bwana umetukuzwa, mkono wa kuume wa Bwana umetenda makuu, sitakufa sitakufa, bali nitaishi nami nitayasimulia matendo ya Bwana
3. Jiwe walilolikataa kataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni, neno hili limetoka toka kwa Bwana, nalo ni ajabu machoni petu.