Mtunzi: Hilali John Sabuhoro
> Mfahamu Zaidi Hilali John Sabuhoro
> Tazama Nyimbo nyingine za Hilali John Sabuhoro
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo | Utatu Mtakatifu
Umepakiwa na: Halisi Ngalama
Umepakuliwa mara 428 | Umetazamwa mara 1,091
Download NotaMapato tuyapatayo ni kazi ya nafsi zote tatu nazoni baba mwana na roho mtakatifuX2
1;Utukuzwe Mungu baba utukuzwe Mungu mwana pia na Mungu roho mtakatifu.
2.Tumtolee zawadi tutoe kwa ukalimu kwani yeye ndiye alotuumba.
3;Tusisite ndugu twende tuvipeleke vipaji kwani yeye ndiye katujalia.
4;Mungu wetu ni mkuu kuliko viumbe vyote hivyo aastahili kusifiwa