Ingia / Jisajili

Matoleo Yetu

Mtunzi: Bernard Mukasa
> Mfahamu Zaidi Bernard Mukasa
> Tazama Nyimbo nyingine za Bernard Mukasa

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 22,341 | Umetazamwa mara 31,686

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Tunaleta matoleo yetu uyapokee ingawaje tumeyapata kwako uyapokee kwa huruma yako Bwana uyapokee, japo ni dhaifu Bwana uyapokee tunakuomba. x 2

  1. Mkate huu ni kiini cha ngano kwenye ardhi uliyorutubisha wewe Bwana

  2. Divai ya mzabibu ni yako nguvu za kuilima zimetoka kwako nasi

  3. Fedha kidogo tulizojaliwa vijisenti hivi hapa twakutolea leo.

  4. Ulisema nijaribuni ninyi kwa sadaka zenu na matoleo yenu basi

  5. Kusudi uhimidiwe milele kama mwanzo na unavyotukuzwa leo haya

Maoni - Toa Maoni

Kaka Brian Dec 03, 2018
Pongezi mkuu kazi yako naipenda endelea vivyo hivyo.

Mwoleka Mansuetus Dec 07, 2017
Kila unapoimbwa wimbo huu nafurahi sana na pengine nachangamka sio kawaida,kaka Mungu kipaji alichokupa nikikubwa mno nakuombea uzidi kuinjilisha kwa nyimbo zenye mguso kama hizi na zaidi!

Josphat koome Sep 21, 2017
Wimbo mzuro sana.naomba nipate video yake ama kanda hili

Richard Jun 18, 2016
Pongeza, Kosoa.... Uwe mstaarabu

Toa Maoni yako hapa